Tunahusika na kutoa elimu kuhusu masuala ya afya.
Tumekuwa tukitumia madawa mbalimbali ambayo kwa wakati mwingine yamekuwa ghali na yenye kutudhuru(side effect).
Kwa kupitia mtandao huu utapata kujua madawa mbadala na namna ya kujikinga na magonjwa mbalimbali.