ALLERGY
adiafiqy
ALLERGY NI NINI?
Ni hali isiyo ya kawaida inayotokea baada ya mwili kukutana na kitu nje au ndani ya mwili. Allergy inaweza kutokea baada ya kukutana na vitu kadhaa km vile vumbi, vipodozi, manyoa ya wanyama, chanjo, baridi, vyakula, vinywaji nk.
Source: carolinafamilyhealthcare.com
ATHARI ZAKEBaadhi yake ambazo ndio kubwa na maarufu ni hizi
* Kuvimba mwili.
* Chafya zisizoisha.
* Kikohozi kisichoisha.
* Mafua yasioisha.
* Kujikuna kila mara.
* Kupumua kwa tabu.
* Kutapika.
* Kuharisha.
* Kunyonyoka nywele. nk.
Kitu kimoja kinaweza kusababisha athari za aina tofauti kwa watu tofauti wenye Allergy.
Ulaji wa vyakula vinavyotengenezwa kwa kuongezwa kemikali za aina mbalimbali zinaathiri mwili ni moja wapo ya viini vya Allergy.
MATIBABU YAKE
MAHITAJI
- Ndimu
- Asali
- Maji ya uvuguvugu
Chukua maji ya vuguvugu glasi moja kisha yakamulie ndimu nusu na tia asali safi kijiko kimoja cha chakula koroga vidhuuuuri kabithaaaa
MATUMIZI
Kunywa kinywaji chako hicho muruaaaa asubuhi kwa muda wa siku tatu hadi tano.
In shaa Allah Biidhnillah utapona.
5:14 AM
ALLERGY
Dawa Madhubuti na Imara ya "Mtaimbo"
adiafiqy
Ndugu yangu mtaimbo wako ikiwa haufanyi
kazi,mwembamba,mfupi,umekaa namba 7, hausimami, hauna uwezo wa kuchimba dawa nk.
Basi tafuta dawa hizi zifuatazo na
jitahidi sana ndg yangu zitimie zote nazo ni:-
- Daarfilfil,
- Filfil abyadh,
- Basbas jauz,
- Zaafaran ya nyuzi,
- Anisun,
- Tangawizi
- Qiswtwi,
- Habbat sufaa,
- Haltiti,
- Aqirkarah,
- Khulinjan,
- Filfil as-wad,
- Kakilah,
- Mbegu za tikitimaji,
- Mbegu za papai,
- Kan-dar,
- Karafuu maua,
- Mushtak,
- Mdalasini,
- Haluli,
- Habbat Barka,
- Misk as-wad ya unga,
- Sufa nyeupe,
- Lozitunda,
- Ndizi,
- Karanga,
- Kitunguu maji,
- Thaumu,
- Halba,
- Nazi,
- Nanaa,
- Chumvi maskat,
- Simsim,
- Himswi
Ndg zangu dawa nilizozitaja sehemu ya
kwanza zote hizo unatakiwa lazima ziwe unga kisha kwa kila dawa ipime kijiko
kimoja cha chakula kisha baada ya kupima zote anza kuzichanganya pamoja baada
ya hapo chagua moja kati ya Asali au Maji yaliyozimishiwa chuma ndani
yake na ukishachagua fuata maelekezo yafuatayo
Baada ya kuchagua kimoja wapo kati ya
Asali na Maji yaliyozimishiwa chuma ndani yake maelezo yake ni:-
Kwa Asali unga huo utautia ndani ya asali nyingi kidogo na hakikisha asali na dawa ufanye ziwe kama uji mzito na matumizi yake ule vijiko 2 vya chakula asubuhi na jioni yaani 2x2 mpaka iishe.
Njia ya pili chukua unga huo tia asali kidogo ufanye upate kama ugali laini kisha utachota kijiko 1 cha chakula tia ndani ya glasi ya maji yaliyozimishiwa chuma ndani yake uvuruge vizuri na uwe unakunywa 1x2 siku 5---21.
Ndg zangu kwa mahitaji ya dawa hiyo ungana nami INSHAALLAH.
Kwa Asali unga huo utautia ndani ya asali nyingi kidogo na hakikisha asali na dawa ufanye ziwe kama uji mzito na matumizi yake ule vijiko 2 vya chakula asubuhi na jioni yaani 2x2 mpaka iishe.
Njia ya pili chukua unga huo tia asali kidogo ufanye upate kama ugali laini kisha utachota kijiko 1 cha chakula tia ndani ya glasi ya maji yaliyozimishiwa chuma ndani yake uvuruge vizuri na uwe unakunywa 1x2 siku 5---21.
Ndg zangu kwa mahitaji ya dawa hiyo ungana nami INSHAALLAH.
2:37 PM
MWANAUME
Ushauri : Sehemu ya Kwanza
adiafiqy
- Ktk uhai wako kama unataka uiogope hospital au daktari basi kila siku asubuhi dumu kula mchanganyiko wa kijiko kimoja kikubwa cha mafuta ya H-sauda na kijiko kimoja kikubwa cha asali uone maajabu yake.
- Ukitaka nishati ya siku nzima basi kunywa mafuta ya H-sauda kijiko 1 kikubwa asubuhi kila siku.
- Ukitaka usingizi mzuri wa rahaaa basi kunywa kijiko kimoja kikubwa cha mafuta ya H-sauda baada ya chakula cha usiku.
- Ukitaka kupoza maradhi yote basi dumu kutumia mafuta ya Habbat sauda
Inshaallah taalah.
6:08 AM
USHAURI
Kufanya wepesi kwenye kujifungua
adiafiqy
Ili mwanamke apate urahisi wa kujifungua pale anapohisi uchungu anashauriwa kufanya yafuatayo;
- Kunywa asali kikombe kimoja cha kahawa
Baada ya kuzaa anatakiwa chakula chake kiwe ni mkate wa ngano safi {sio unga wa ngano mweupe} huku akitolea na asali.
Na kwa ajili ya kuiteremsha damu baada ya kuzaa ambayo bado imo tumboni na pia kwa ajili ya kuondosha maumivu basi anatakiwa anywe Uwatu glasi 1 iliyochemshwa na kuchanganywa na asali anywe asubuhi na jioni hakika damu na maumivu yote vitaondoka Biidhnillah.
Natumaini tumeelewana.
Tafadhali usisite kutupa mrejesho
5:07 AM
UJAUZITO
Tiba ya Mtoto wa Jicho
adiafiqy
Matibabu
- Chukua vilele vya Mtunguja kiasi na uvichemshe maji kiasi na uwe unamtojea ndani ya jicho x3 wiki 2.
- Majani ya Mzalia nyuma mabichi uyapondeponde na uyakamue na maji utakayopata mtojee ktk jicho x2 wiki 2.
- Dawa iitwayo Milhu Hayda Raani iloweke ktk maji kiasi kisha mtojee ktk jicho x3 wiki 2.
Usisahau kurudisha mrejesho tiba hii imekusaidia kiasi gani.
3:41 AM
MACHO
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)




