Kufanya wepesi kwenye kujifungua
Ili mwanamke apate urahisi wa kujifungua pale anapohisi uchungu anashauriwa kufanya yafuatayo;
- Kunywa asali kikombe kimoja cha kahawa
Baada ya kuzaa anatakiwa chakula chake kiwe ni mkate wa ngano safi {sio unga wa ngano mweupe} huku akitolea na asali.
Na kwa ajili ya kuiteremsha damu baada ya kuzaa ambayo bado imo tumboni na pia kwa ajili ya kuondosha maumivu basi anatakiwa anywe Uwatu glasi 1 iliyochemshwa na kuchanganywa na asali anywe asubuhi na jioni hakika damu na maumivu yote vitaondoka Biidhnillah.
Natumaini tumeelewana.
Tafadhali usisite kutupa mrejesho
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment