ALLERGY
ALLERGY NI NINI?
Ni hali isiyo ya kawaida inayotokea baada ya mwili kukutana na kitu nje au ndani ya mwili. Allergy inaweza kutokea baada ya kukutana na vitu kadhaa km vile vumbi, vipodozi, manyoa ya wanyama, chanjo, baridi, vyakula, vinywaji nk.
Source: carolinafamilyhealthcare.com
ATHARI ZAKEBaadhi yake ambazo ndio kubwa na maarufu ni hizi
* Kuvimba mwili.
* Chafya zisizoisha.
* Kikohozi kisichoisha.
* Mafua yasioisha.
* Kujikuna kila mara.
* Kupumua kwa tabu.
* Kutapika.
* Kuharisha.
* Kunyonyoka nywele. nk.
Kitu kimoja kinaweza kusababisha athari za aina tofauti kwa watu tofauti wenye Allergy.
Ulaji wa vyakula vinavyotengenezwa kwa kuongezwa kemikali za aina mbalimbali zinaathiri mwili ni moja wapo ya viini vya Allergy.
MATIBABU YAKE
MAHITAJI
- Ndimu
- Asali
- Maji ya uvuguvugu
Chukua maji ya vuguvugu glasi moja kisha yakamulie ndimu nusu na tia asali safi kijiko kimoja cha chakula koroga vidhuuuuri kabithaaaa
MATUMIZI
Kunywa kinywaji chako hicho muruaaaa asubuhi kwa muda wa siku tatu hadi tano.
In shaa Allah Biidhnillah utapona.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment