Tiba ya Mtoto wa Jicho

2 comments

 Matibabu
  1.  Chukua vilele vya Mtunguja kiasi na uvichemshe maji kiasi na uwe unamtojea ndani ya jicho x3 wiki 2.
  2. Majani ya Mzalia nyuma mabichi uyapondeponde na uyakamue na maji utakayopata mtojee ktk jicho x2 wiki 2.
  3. Dawa iitwayo Milhu Hayda Raani iloweke ktk maji kiasi kisha mtojee ktk jicho x3 wiki 2.
Dawa yoyote kati ya hizo unatakiwa ukimtojea uanze jicho ambalo halina shida kisha ndio jicho bovu.


Usisahau kurudisha mrejesho tiba hii imekusaidia kiasi gani.

2 comments :

  1. shukran kwa elimu bora yenye msaada kwa afya ili kamilika

    ReplyDelete
  2. Mi cjajua hio vilele vya mtunguja nininj,majani ya mzalia ninini na hio milhu hayda ninini na nitapataje hizo dawa nashida hio ya jicho

    ReplyDelete